Psalms 68:5-6

5 aBaba wa yatima, mtetezi wa wajane,
ni Mungu katika makao yake matakatifu.
6 bMungu huwaweka wapweke katika jamaa,
huwaongoza wafungwa wakiimba,
bali waasi huishi katika nchi kame.
Copyright information for SwhNEN